Waziri Jafo amteua Mwandishi Sakina wa UMG kuwa Balozi wa mazingira

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Jafo, amemteua Sakina Abdulmasoud kutoka Uhuru Media Group kuwa balozi wa mazingira nchini.
Mwandishi Sakina

Katika uteuzi huo, msanii Diamond Platnumz, Masoud Kipanya, Ester Matiko na muimbaji wa nyimbo za injili Christina Shusho, nao wameteuliwa kuwa mabalozi wa mazingira

Post a Comment

0 Comments