WAZIRI MKUU MAJALIWA AHUDHURIA FAINALI ZA MASHINDANO YA KIMATAIFA YA QURAN TUKUFU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Diamond Jublee jijini Dar es salaam kuwa Mgeni Rasmi katika Fainali za Mashindano ya Kimataifa ya Quran Tukufu, Mei 2, 2021. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam, Abubakar Kunenge. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam salaam kuwa Mgeni Rasmi katika Fainali za Mashindano ya Kimataifa ya Quran Tukufu, Mei 2, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na viongozi mbalimbali wakifuatilia fainali za Mashindano ya Kimataifa ya Quran Tukufu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam, Mei 2, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news