🔴LIVE: CHADEMA waibua mjadala kuhusiana na Katiba Mpya Tanzania

 


"Lakini sasa hivi mnaona mikutano ya ndani ya kisiasa inafanyika, kamati kuu za vyama zinafanya mikutano yake na wabunge wanaruhusiwa kufanya mikutano kwenye majimbo yao.

Rais Samia akizungumzia suala la Katiba amesema ni la maana sana, lakini wapewe muda."Tupeni muda tuisimamishe Tanzania, tusimame tujenge nchi pamoja na nyie,"amesema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan katika mkutano na Wahariri Ikulu jijini Dar es Salaam Juni 28,2021.

Post a Comment

0 Comments