Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wafanyika


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio akiwasili katika ukumbi wa Mikutano wa JKT Umwema, Morogoro kufungua Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, unaoanza leo, tarehe 2 Juni, 2021. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio akizungumza na Maafisa Wafawidhi wa Mikoa na wafanyakazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi ulioanza leo katika ukumbi wa Mikutano wa JKT- Umwema Morogoro. Mkurugenzi wa Idara ya Huduma ya Uangalizi, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Aloyce Musika, akizungumza na Maafisa Wafawidhi wa Mikoa na Wafanyakazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi ulioanza leo katika ukumbi wa Mikutano wa JKT- Umwema Morogoro. Baadhi ya Maafisa Wafawidhi wa Mikoa na Wafanyakazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi wakiwa kwenye Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi ulioanza leo katika ukumbi wa Mikutano wa JKT- Umwema Morogoro. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (aliyekaa katikati) na Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Uangalizi, Aloyce Musika (wapili Kushoto), wakiwa kwenye picha ya Pamoja na Maafisa Wafawidhi wa Mikoa na Wafanyakazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, baada ya Ufunguzi wa Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi ulioanza leo katika ukumbi wa Mikutano wa JKT- Umwema Morogoro. Mkutano huo ulihudhuriwa pia na baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara hiyo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news