Tanzania yapewa nafasi nne michuano ya Kimataifa

Tanzania itawakilishwa na vilabu vinne katika michuano ya kimataifa.Vilabu viwili vitashiriki michuano ya ligi ya mabingwa na viwili vitashiriki michuano ya kombe la Shirikisho.

Post a Comment

0 Comments