Tume ya Utumishi wa Umma ana kwa ana na Watumishi wilayani Kisarawe katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma


Bwana Mbegu Kilawe (kushoto) akieleza kero na malalamiko yake ya kiutumishi kwa Maafisa wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bwana Clement Pallangyo (katikati) na Bibi Saada Ibrahim (kulia) leo Wilayani Kisarawe, sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma. (Picha na PSC).
Bwana Amas Mahagala (kulia) Afisa Tawala Mwandamizi kutoka Tume ya Utumishi wa Umma, akisikiliza kero na malalamiko kutoka kwa Bw. Jacob Y. Sengoli (kushoto) kutoka Manerumango Kisarawe, aliyefika Shule ya Msingi Chanzige, Kisarawe kutoa changamoto za kiutendaji kipindi hiki cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, 2021. (Picha na PSC).
Bibi Agness Kapfunsi(kulia) Afisa Utumishi kutoka Tume ya Utumishi wa Umma akisikiliza changamoto za kiutendaji za kiutumishi kutoka kwa Bwana Elihuruma H. Mohamed (kushoto) ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma inayoendelea kufanyika Wilayani Kisarawe.
Maafisa wa Tume ya Utumishi wa Umma Bibi Elizabeth Mabula (kushoto) na Bwana Lamech Mapunda (katikati) wakimsikiliza mdau wa Tume aliyefika kupatiwa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi leo Wilayani Kisarawe ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika Wilayani Kisarawe. (Picha na PSC).
Tume ya Utumishi wa Umma inasikiliza kero, malalamiko na changamoto zinazowakabili kiutendaji Watumishi wa Umma, Maafisa wa Tume wanahudumia watumishi na wadau katika Shule ya Msingi Chanzige Wilayani Kisarawe tarehe 16-18 Juni, 2021 ikiwa ni Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, 2021.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news