TUME YA UTUMISHI WA UMMA YAENDELEA NA MKUTANO WA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021

Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma wakiwa katika Mkutano leo 29 Juni 2021: Mheshimiwa Khadija A.M. Mbarak (kushoto) na Mheshimiwa Immaculata P. Ngwale (kulia) wakishiriki katika Mkutano wa Nne kwa mwaka wa fedha 2020/2021 unaofanyika Jijini Dar es Salaam. (Picha na PSC).
Maafisa wa Tume ya Utumishi wa Umma: Bw. Peleleja Masesa, Katibu Msaidizi, Idara ya Rufaa na Malalamiko (kushoto), Bw. Evarist Mashiba, Afisa Sheria Mkuu (katikati) na Bw. Charles Mulamula, Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria (kulia) wakishiriki Mkutano wa Tume unaoendelea kufanyika leo Juni 29, 2021 jijini Dar es Salaam. (Picha na PSC).
Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bw. Nyakimura Muhoji (kushoto) akiwa na Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma, Mhe. Balozi (Mstaafu) Daniel Ole Njoolay (katikati) na Mhe. Balozi (Mstaafu) John Haule wakishiriki katika Mkutano wa Tume leo 29 Juni 2021 unaofanyika Jijini Dar es Salaam. (Picha na PSC).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news