Wataalamu wa TANESCO waendelea kuwapa nafasi Watanzania ndani ya Sabasaba,soma bure Jarida la TANESCOyetu hapa

Wataalamu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wakiendelea kutoa huduma kwa wateja wanaofika katika banda la TANESCO, kwenye Maonesho ya 45 ya Biashara (Sabasaba), viwanja vya Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Juni 30, 2021.
Post a Comment

0 Comments