BASATA: Rosey Manfere arejeshwe Miss World 🌎


Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limeingilia kati na kuitaka Kampuni ya The Look kuwasilisha jina la Mshindi wa Miss Tanzania Rosey Manfere kwenye shindano la Miss World kutokana na kutoridhishwa na sababu za kampuni hiyo kuliengua jina hilo na kutaka mshindi wa pili Juliana Rugumisa kuiwakilisha Tanzania.

Post a Comment

0 Comments