Rais mstaafu Obasanjo, ujumbe wake wakutana na Rais Dkt.Mwinyi


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo alipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kutowa maelezo ya Kitabu chake cha “Asian Aspiration” kabla ya uzinduzi uliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar na (kulia kwake) Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemariam Desalegn, wakiwa katika ukumbi wa Ikulu, kabla ya kuaza mazungumzo.(Picha na Ikulu) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn, baada ya kutowa maelezo ya kitabu chao cha “Asian Aspiration” mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakimsikiliza Rais Mstaafu wa Nigeria, Mhe. Olusegun Obasanjo akitwa maelezo ya kitabu chake cha cha “Asian Aspiration” wakati wa mazungumzo yake na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk.,Hussein Ali Mwinyi, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) Rais Mstaafu wa Nigeria, Mhe. Olusegun Obasanjo akizungumza na kutowa maelezo ya kitabu chake cha cha “Asian Aspiration” kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, kabla ya kufanyika uzinduzi huo wa kitabu hicho katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.(Picha na Ikulu) Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia, Mhe. Hailemariam Desalegn akizungumza na kutoa maelezo ya kitabu cha “Asian Aspiration”, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments