Waziri Balozi Mulamula akutana na ujumbe maalum kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Nchi wa Umoja wa Falme za Kiarabu Mhe. Sheikh Shakhboot Bin Nahyan.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula akisalimiana na Waziri wa Nchi wa Umoja wa Falme za Kiarabu Mhe. Sheikh Shakhboot Bin Nahyan.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Nchi wa Umoja wa Falme za Kiarabu Mhe. Sheikh Shakhboot Bin Nahyan pamoja na ujumbe alioambatana nao.

Mheshimiwa Nahayan yuko Nchini kuwasilisha Ujumbe Maalum wa Mrithi wa Ufalme wa Abu Dhabi na Naibu Kamanda Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Umoja wa Abu Dhabi Mhe. Mohamed Bin Zayed Al Nayhan kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan.

Post a Comment

0 Comments