WAZIRI MKUU AREJEA NCHINI BAADA YA KUMALIZA ZIARA YA KIKAZI NCHINI MOROCCO


Waziri Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea nchini Morocco baada ya kumaliza ziara ya kikazi, Julai 18,2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea nchini Morocco baada ya kumaliza ziara ya kikazi, Julai 18,2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments