DPP Mwakitalu aelezea lengo la kukutana na Waendesha Mashtaka Afrika Mashariki

Kwa kina zaidi tazama video hapa chini;

Rais wa Chama cha Waendesha Mashtaka Afrika Mashariki ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini Tanzania(DPP), Mheshimiwa Sylvester Mwakitalu akielezea lengo la mkutano huo unaohusiana na masuala mbalimbali yahusuyo wanyamapori na ushirikiano wa kimataifa katika kupambana na uhalifu.Mkutano unafanyika  katika Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha.

Katibu Mkuu wa Chama cha Waendesha Mashtaka wa Afrika Mashariki ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Kenya,DPP Noordin Haji akifafanua jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa tisa wa mwaka wa chama hicho, unaofanyika jijini Arusha leo Agosti 30 ikiwa ni siku yake ya kwanza ya mkutano huo.

Post a Comment

0 Comments