🔴LIVE:Ibada ya Kumuaga Mama Johara N. Mtei

 Ibada ya Kumuaga Mama Johara N. Mtei - 14:00hrs EAT, 22nd August 2021 - KKKT Azania Front Cathedral jijini Ilala mkoani Dar es Salaam. Alikuwa Mke wa muasisi wa Chadema, Edwin Mtei ambaye amefariki dunia Ijumaa Agosti 20, 2021 katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.Unaweza kusoma; Mama Mkwe wa Freeman Mbowe afariki


MUHIMU

UNATAMANI DIRAMAKINI BLOG TUWE HEWANI SAA 24 KUKUPA HABARI ZA KINA KILA DAKIKA, TUNAOMBA UTUUNGE MKONO KWA KUCHANGIA GHARAMA ZA MAWASILIANO NA INTANETI KWA WAANDISHI WETU POPOTE WALIPO NDANI NA NJE YA TANZANIA; TUNAPOKEA MCHANGO WAKO KUPITIA 0719254464 (Tigo Pesa-Godfrey Nnko) AU UKIHITAJI NAMBA YA BENKI TUJULISHE. MUNGU AKUBARIKI SANA KWA SAPOTI YAKO. ASANTE

Post a Comment

0 Comments