Rais Samia apokea hati za utambulisho wa Mabalozi



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Czech Nchini Mhe. Martin Klepetro, mara baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi Martin Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 26,2021.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Belarus Nchini Mhe. Pavel Vziatkin Ikulu Jijini Dar es salaam, leo Agosti 26,2021 Ikulu Jijini Dar es salaamRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Czech Nchini Mhe. Martin Klepetro, leo Agosti 26,2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Colombia Nchini Mhe. Monica Greiff Lindo mara baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi Monica Ikulu Jijini Dar es salaam, leo Agosti 26,2021Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Australia Nchini Mhe. Luke Joseph Williams mara Baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi Williams Ikulu Jijini Dar es salaam, leo Agosti 26,2021. (Picha zote na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news