Serikali yajibu maswali yote yanayousumbua ufahamu wako kuhusu chanjo ya UVIKO-19


Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alipokea chanjo dhidi ya UVIKO-19 na kuzindua rasmi zoezi la uchanjaji Kitaifa. Yafuatayo ni maswali na majibu yaliyokuwa yakisumbua ufahamu wako;
Post a Comment

0 Comments