CCM: Jimbo la Ushetu kazi yetu ni moja tu

 

Naibu Katibu Mkuu wa CCM ( Bara) Ndugu Christina Mndeme akimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Ushetu kwa tiketi ya CCM Ndugu Emmanuel Cherehani (kulia) kwenye viwanja vya Nyamilangano. Chama Cha Mapinduzi kimezindua rasmi leo kampeni zake katika jimbo la Ushetu. (Picha na Adam Mzee/ CCM Makao Makuu).
Naibu Katibu Mkuu wa CCM ( Bara) Ndugu Christina Mndeme akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020/2025 mgombea wa ubunge jimbo la Ushetu kwa tiketi ya CCM Ndugu Emmanuel Cherehani (kulia) kwenye viwanja vya Nyamilangano. Chama Cha Mapinduzi kimezindua rasmi leo kampeni zake katika jimbo la Ushetu. (Picha na Adam Mzee/ CCM Makao Makuu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news