Picha: Mheshimiwa Masanja akimkabidhi zawadi Waziri wa Utalii Ivory Coast

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akimkabidhi zawadi Waziri wa Ivory Coast anayehusika na masuala ya Utalii, Mhe. Siandou Fofana baada ya Maadhimisho ya Siku ya Utalii Duniani jijini Abidjan nchini Ivory Coast.

Post a Comment

0 Comments