Rais Samia:Dunia inakwenda kufahamu ukweli kuhusu madini ya Tanzanite


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wananchi wa Mererani mkoani Manyara leo Septemba 5,2021 kabla ya kuanza kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji nchini.
Wananchi wa Mererani mkoani Manyara wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwasalimia leo Septemba 5,2021 kabla ya kuanza kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji nchini. (PICHA NA IKULU).

Post a Comment

0 Comments