Waziri Makamba ateua wajumbe Bodi ya Wakurugenzi TANESCO

Baada Mhe Rais kumteua Ndugu Omar Issa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TANESCO, NIMEWATEUA wafuatao kuwa Wajumbe wa Bodi:- Nehemia Mchechu, Zawadia Nanyaro, Lawrence Mafuru, Eng. Cosmas Masawe, Abubakar Bakhresa, Eng. Abdallah Hashim, Balozi Mwanaidi Maajar, Christopher Gachuma”

Post a Comment

0 Comments