PICHA:Ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu kwa watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma


UFUNGUZI WA MAFUNZO: Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma (PSC), Bw. Mathew Kirama (wa pili kutoka kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi wa Tume, kutoka kulia waliokaa ni Bw. Peleleja Masesa (Katibu Msaidizi), Bw. Enos Ntusso (Katibu Msaidizi) na kushoto ni Bw. John Mbisso, Naibu Katibu. Ni baada ya kufungua mafunzo ya siku tatu kwa watumishi wa tume kuhusu uchambuzi wa rufaa na malalamiko pamoja na Ukaguzi wa Rasilimali Watu katika Utumishi wa Umma, Oktoba 7, 2021 katika ukumbi wa mkutano wa Chimwaga jijini Dodoma. (Picha na PSC).

Post a Comment

0 Comments