Rais Dkt.Mwinyi azuru katika kaburi la Hayati Dkt.John Pombe Joseph Magufuli


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli alipofika nyumbani kwa marehemu kusalimia familia ya marehemu Chato na kushoto ni Mjane wa Marehemu Mama Janeth Magufuli na Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa salamu za heshima baada ya kuweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Hayati Dkt. John Pombe Magufuli alipofika nyumbani kwa marehemu Chato kusalimia familia ya marehemu na kushoto ni Mjane wa Marehemu Mama Janeth Magufuli na Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi.(Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments