Rais Samia afanya uteuzi leo Oktoba 24, 2021

NA MWANDISHI MAALUM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Prof. Joseph Kuzilwa, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Morogoro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo.
Kwa mujibu wa taarifa ya Jaffar Haniu ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, uteuzi huo umeanza Oktoba 21, 2021.

Post a Comment

0 Comments