Rais Samia azindua kiwanda cha nyama, mradi wa maji safi Longido


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua kiwanda cha nyama cha Eliya Food Overseas LTD kiliopo Eurendeke Longido mkoani Arusha leo Oktoba 18, 2021. Mhe. Rais Samia yupo mkoani Arusha akiendelea na ziara yake ya kikazi kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya wananchi mkoani Arusha. (Picha na Ikulu).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa kitambaa kuzindua kiwanda cha Nyama cha Eliya Food Overseas LTD kiliopo Eurendeke Longido mkoani Arusha leo Oktoba 18, 2021. Mhe. Rais Samia yupo mkoani Arusha akiendelea na ziara yake ya kikazi kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya wananchi mkoani Arusha wa pili kulia ni Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso, Mkuu wa Mkoa Arusha, Mhe. John Mongela, kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo. (Picha na Ikulu).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu uandaaji wa nyama mara baada ya kuzindua kiwanda cha nyama cha Eliya Food Overseas LTD kiliochopo Eurendeke Longido mkoani Arusha leo Oktoba 18, 2021. Mhe. Rais Samia yupo mkoani Arusha akiendelea na ziara yake ya kikazi kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya wananchi mkoani Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Mradi Mkubwa wa Maji safi na Salama wilayani Longido mkoani Arusha leo Oktoba 18, 2021. Mhe. Rais Samia yupo mkoani Arusha akiendelea na ziara yake ya kikazi kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya wananchi mkoani Arusha. Wa pili kulia ni Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso, kushoto ni Mkuu wa Mkoa Arusha, Mhe. John Mongela. (Picha na Ikulu).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia wananchi wa Longido katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Oktoba 18, 2021 katika Uwanja wa Stendi mpya Longido mkoani Arusha. Mhe. Rais Samia yupo mkoani Arusha akiendelea na ziara yake ya kikazi kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya wananchi mkoani Arusha. (Picha na Ikulu).


Post a Comment

0 Comments