Tanzania, Benki ya Kiarabu wasaini Mkataba wa ujenzi wa barabara Zanzibar


Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA), Dkt. Sidi Ould Tah, wakisaini marekebisho ya mkataba wa Mradi wa Bararaba ya Wete – Chake Chake, Pemba katika hafla iliyofanyika, jijini Dodoma.Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akimsindikiza Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA), Dkt. Sidi Ould Tah, baada ya kumaliza hafla ya utiaji saini marekebisho ya mkataba wa mradi wa bararaba ya Wete hadi Chake Chake, Pemba iliyofanyika, jijini Dodoma.Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA), Dkt. Sidi Ould Tah, baada ya kumaliza hafla ya utiaji saini wa marekebisho ya mkataba wa mradi wa bararaba ya Wete hadi Chake Chake, Pemba iliyofanyika, jijini Dodoma.Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA), Dkt. Sidi Ould Tah, zawadi ya picha ya Mlima Kilimanjaro ikiwa na baadhi ya Wanyama, baada ya kumaliza hafla ya utiaji saini wa marekebisho ya mkataba wa Mradi wa Bararaba ya Wete hadi Chake Chake, Pemba iliyofanyika jijini Dodoma.Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA), Dkt. Sidi Ould Tah, baada ya kumaliza hafla ya utiaji saini wa marekebisho ya mkataba wa Mradi wa Bararaba ya Wete hadi Chake Chake, Pemba iliyofanyika jijini Dodoma. (Picha na WFM – Dodoma)

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news