TRA yajibu maswali 10 kuhusu utaratibu wa kuhamisha umiliki wa vyombo vya moto


Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeendelea na juhudi zake za kuwahudumia wateja wake waliopo nchini kote ili kuhakikisha wanapata ufahamu wa kutosha waweze kuwa sehemu ya walipaji kodi halali ili ziweze kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo nchini. Yafuatayo ni maswali na majibu kuhusu utaratibu wa uhamishaji wa vyombo vya moto. Endelea hapa chini...

Post a Comment

0 Comments