Waziri Mkuu afungua Mkutano wa TANO wa TEHAMA


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea kwa Tuzo kutoka kwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Tekinolojia ya Habari, Dkt. Ashatu Kijaji kwa niaba ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ya kutambua mchango wake katika kukuza sekta ya TEHAMA Nchini. katika Mkutano wa Tano wa Mwaka wa Tehama Tanzania uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) jijini Arusha
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha nakala za mwongozo wa usajili wa watalaamu wa Tehama baada ya kuuzindua, katika Mkutano wa Tano wa Mwaka wa Tehama Tanzania uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) jijini Arusha, Oktoba 22, 2021. Kushoto ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Tekinolojia ya Habari, Dkt. Ashatu Kijaji
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea kwa Tuzo kutoka kwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Tekinolojia ya Habari, Dkt. Ashatu Kijaji kwa niaba ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ya kutambua mchango wake katika kukuza sekta ya TEHAMA Nchini. katika Mkutano wa Tano wa Mwaka wa Tehama Tanzania uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) jijini Arusha.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza, Mkurugenzi wa Masuala ya Sekta kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Emmanuel Manasseh (kushoto) wakati alipotembelea banda la TCRA katika Mkutano wa Tano wa Mwaka wa TEHAMA Tanzania uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) jijini Arusha, Oktoba 22, 2021. Wa pili kushoto ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Ashatu Kijaji, kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Zainab Chaula na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wadau wa Sekta ya TEHAMA wakati alipofungua Mkutano wa Tano wa Mwaka wa TEHAMA Tanzania uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) jijini Arusha,
Wadau wa Sekta ya TEHAMA wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano wa Tano wa Mwaka wa TEHAMA Tanzania uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) jijini Arusha, Oktoba 22, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news