Waziri Mkuu ateta na Mwanasheria Mkuu wa Serikali


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Eliezer Feleshi, ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, leo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Eliezer Feleshi, ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, leo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Eliezer Feleshi, baada ya mazungumzo yao ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, leo.(Picha na Ofisi ya Wazir Mkuu).

Post a Comment

0 Comments