Yanga SC yaomboleza kifo cha baba mzazi wao, Paul Godfrey Nyang'anya

NA MWANDISHI DIRAMAKINI

Uongozi wa Klabua ya Yanga yenye maskani yake jijini Dar es Salaam umeeleza kupokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha baba mzazi wa mchezaji wao, Paul Godfrey Nyang'anya kilichotokea leo jijini Dar es Salaam.

Hayo wameyabainisha kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa leo Oktoba 18, 2021 ikielezea kuwa,uongozi wa Yanga unatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki kwa msiba huo.

Post a Comment

0 Comments