DC Dkt.Serera awapongeza madiwani Zacharia Chimba,Salome Nelson Mnyawi kwa kufanya jambo la kipekee


Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Dkt. Suleiman Serera amewapongeza madiwani wa kata za Endiamtu Lucas,Zacharia Chimba na Diwani wa Kata ya Mirerani, Salome Nelson Mnyawi kwa kuandaa hafla fupi ya kuwapongeza walimu, wanafunzi, viongozi, wazazi na walezi wa shule za Msingi Mji mdogo wa Mirerani na Wilaya ya Simanjiro kwa ujumla kutokana na matokeo mazuri ya kwenye mtihani wa darasa la saba kwa mwaka huu, hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Kazamoyo Inn.(Picha na Mary Margwe).
Pia Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Dkt. Suleiman Serera, amewapongeza walimu, wanafunzi, viongozi, wazazi na walezi wa shule za msingi Mji mdogo wa Mirerani na Wilaya ya Simanjiro kwa ujumla kutokana na matokeo mazuri ya kwenye mtihani wa darasa la saba kwa mwaka huu. (Picha na Mary Margwe).
Picha juu madiwani wawili wa kata za Endiamtu Lucas, Zacharia Chimba (aliyevaa suti ) na Diwani wa Kata ya Mirerani, Salome Nelson Mnyawi wameshirikiana kwa ajili ya kuandaa hafla fupi ya kuwapongeza walimu, wanafunzi, viongozi, wazazi na walezi wa shule za Msingi Mji mdogo wa Mirerani na Wilaya ya Simanjiro kwa ujumla kutokana na matokeo mazuri ya kwenye mtihani wa darasa la saba kwa mwaka huu, hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Kazamoyo Inn. (Picha na Mary Margwe).

Post a Comment

0 Comments