Katibu wa CCM Wilaya ya Misenyi akabidhi rasmi ofisi ya UVCCM wilayani Simanjiro


Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Misenyi mkoani Kagera, Bakari Mwacha akikabidhi rasmi ofisi ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara alikokuwa akifanya kazi awali kama katibu wa UVCCM wilaya hiyo ) kwa Kaimu Katibu UVCCM, Andrew Japheth Mwaisela mbele ya Mwenyekiti wa UVCCM wilaya hiyo, Thomas Leyseck Mollel ( wa pili kulia ). (Picha na Mary Margwe).
Katibu wa CCM Wilaya ya Misenyi mkoani Kagera, Bakari Mwacha (katikati ) akielekea kwenda kukabidhi jengo la mtumishi (katibu wa UVCCM) Wilaya ya Simanjiro alikokuwa akifanya kazi awali kama katibu wa UVCCM wilaya hiyo, ni jengo alilolianzisha na kulisimamia kikamilifu na hatimaye kufikia hatua hiyo na kumkabidhi Kaimu Katibu wa UVCCM, Andrew Japheth Mwaisela (hayupo pichani) mbele ya Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara Thomas Leyseck Mollel. ( hayupo pichani ).(Picha na Mary Margwe).

Jengo jipya la mtumishi ( katibu wa UVCCM Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara) lililoanzishwa na kusimamiwa kikamilifu na Katibu wa CCM Wilaya ya ya Misenyi mkoani Kagera, Bakari Mwacha (mkimya wa maneno mwingi wa vitendo ) katikati na hatimaye kulifikisha katika hatua hiyo, na kulia ni mwenyekiti wa UVCCM wilaya hiyo,Thomas Leyseck Mollel. (Picha na Mary Margwe).
Katibu wa CCM Wilayaaya ya Misenyi mkoani Kagera, Bakari Mwacha (katikati mwenye miwani) akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM ( UVCCM) Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Thomas Leyseck Mollel (alikokua akifanya kazi awali kama Katibu wa UVCCM wilaya hiyo ) na kisha kumkabidhi ofisi hiyo Kaimu Katibu wa UVCCM, Andrew Japheth Mwaisela (kushoto). (Picha na Mary Margwe).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news