🔴 Live: Rais Samia mgeni rasmi katika Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Kitaifa jijini Arusha

Matangazo ya moja kwa moja leo Novemba 23,2021 kutoka jijini Arusha ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ni mgeni rasmi katika Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Kitaifa.

Post a Comment

0 Comments