🔴 LIVE: Uchaguzi wa Wanafunzi Kidato cha Kwanza mwaka 2022

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Ummy Mwalimu akitangaza matokeo hayo leo Novemba 24,2021 jijini Dodoma.

"Hakika Rais Samia anaandika historia nyingine kubwa nchini ya kuwezesha wanafunzi waliofaulu Mtihani wa darasa la 7 mwaka 2021 wote kuchaguliwa kuanza muhula wa masomo siku moja, Januari 2022. Na hivyo kuzika rasmi utaratibu wa kuchangua wanafunzi kwa awamu mbili.

"Ninawahimiza, wazazi/walezi na jamii kushirikiana na uongozi wa Wilaya, Halmashauri na Shule, kuhakikisha kuwa wanafunzi wote waliochaguliwa wanaandikishwa, wanahudhuria na kubakia shuleni hadi watakapohitimu Elimu ya Sekondari,"amesema Waziri Ummy.

Post a Comment

0 Comments