Matukio katika picha Waziri Mkuu bungeni leo


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mchinga, Mama Salma Kikwete, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko, bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Lucy Mayenga, Bungeni jijini Dodoma.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Eliezer Feleshi akiapa kuwa Mbunge, bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Ushetu, Emmanuel Cherehani kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge Mussa Sima wa Singida Mjini (kushoto), Nape Nnauye wa Mtama (wa pili kushoto) na Francis Mtinga wa Iramba Mashariki kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

Post a Comment

0 Comments