Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili Makandarasi atembelea Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP)


Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi, Mhandisi Consolata Ngimbwa akitembezwa kwenye maeneo mbalimbali ya mradi wa umeme wa Megawati 2115 wa Julius Nyerere (JNHPP), ulioko Rufiji Mkoa wa Pwani wakati ujumbe huo ulipotembelea mradi huo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB), Mhandisi Consolatha Ngimbwa katikati akizungumza na viongozi wa Tanesco wanaosimamia mradi wa kuzalisha umeme wa Megawati 2,115 wakati yeye na ujumbe wake walipotembelea mradi huo Rufiji Mkoa wa Pwani.
Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB), Mhandisi Consolatha Ngimbwa na Msajili wa Bodi hiyo, Mhandisi Rhoben Nkori wakimsikiliza mmoja wa wafanyakazi wa Tanesco wanaosimamia mradi wa kuzalisha umeme wa Megawati 2,115 wakati yeye na ujumbe wake walipotembelea mradi huo Rufiji Mkoa wa Pwani.
Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB), Mhandisi Consolatha Ngimbwa wa pili kutoka kushoto akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wengine wa bodi hiyo na wale wa Shirika la Umeme Tanesco kwenye mradi wa kuzalisha umeme wa Megawati 2115.

Post a Comment

0 Comments