Rais Dkt.Mwinyi azindua miradi ya maendeleo


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Riu Hotels & Resorts Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja (kushoto ) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Bw.Raul Gantes wakiondoa kiupazia, hafla hiyo imefanyika katika eneo la ujenzi huo Nungwi, ikiwa ni shamrashamra za kutimiza Mwaka mmoja wa Uongozi wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mmikili wa Mradi wa Hoteli ya Kitaii ya Riu Hotels &Resorts Bw. Raul Gantes akitowa maelezo ya michoro ya picha ya ujenzi wa hoteli hiyo wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi huo ikiwa ni Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Uongozi wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Riu Hotels &Resorts Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi huo, ikiwa ni shamrashamra za Mwaka Mmoja wa Uongozi wake, (kushoto kwa Rais) Mmiliki wa Hoteli hiyo Bw. Raul Gantes.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Nungwi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Riu Hotels &Resots Nungwi. Ikiwa ni shamrashamra za mwaka mmoja wa Uongozi wake.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments