Rais Samia Suluhu aongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCMMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM iliyokutana leo Novemba 7, 2021 Ikulu, Chwamwino mkoani Dodoma. (PICHA NA IKULU).

Post a Comment

0 Comments