RAISA DKT.MWINYI AZINDUA KAMPENI YA “SheforHe”E


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimia na Mwakilishi Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw. Zlatan Millisic na Mwakilishi wa Shirika la UN linaloshughulika na Masuala ya Jinsia na Uwezeshaji wa Wanawake (UN WOMEN) Bi. Hodan Addou, walipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni kwa ajili ya Uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe”
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw.Zlatan Millisic, wakiwa katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe”.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe” iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
Baadhi ya Mawairi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanbzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe” iliozinduliwa katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalishughulika na Masuala ya Jinsia na Uwezeshaji wa Wanawake (UN WOMEN) Bi.Hodan Addou, wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe” uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marian Mwinyi na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto) Mwakilishi Mkaazi wa UN Nchini Tanzania.Bw.Zlatan Millisic.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments