Tazama makala Maalum ya Viongozi Wastaafu Kitaifa walipotembelea miradi mikubwa ya kimkakati nchini


Imebainika kuwa,kukamilika kwa Mradi wa Bwawa  la Kufua Umeme wa Maji la Julius Nyerere (JNHPP-MW2115) kutafanya Tanzania kuwa na uwezo wa kuzalisha umeme wa megawati 4478 pamoja na vyanzo vingine vya umeme vilivyopo huku mahitaji yakiwa ni megawati 2788 na hivyo kufanya kuwa na ziada ya umeme wa megawati 2100.

Post a Comment

0 Comments