TPLB yatoa onyo kali, Refa Abel William apelekwa kamati

NA MWANDISHI DIRAMAKINI

REFA Abel William aliyewapa Yanga SC penalti iliyozaa bao la kusawazisha wakotoa sare ya 1-1 dhidi Namungo FC hivi karibuni mjini Lindi amechukuliwa hatua.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imesema kwamba, refa huyo amepelekwa Kamati ya Waamuzi akajadiliwe kwa makosa aliyoyafanya.Post a Comment

0 Comments