Yaliyojiri Bungeni leo Novemba 2, 2021

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Kayanza Pinda alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Novemba 2, 2021.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Kayanza Pinda alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Novemba 2, 2021, Kushoto ni Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, Bw. Kenani Kihongosi.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Maadili na Kinga kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodona, Novemba 2, 2021, Kamati hiyo ipo Jijini Dodoma kwa ziara ya kikazi (mafunzo) ya siku 2 katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akimuapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Eliezer Feleshi leo Bungeni Jijini Dodoma, Novemba 2, 2021.
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akipokea zawadi ya t – shirt kutoka kwa Mkuu wa Hifadhi ya KINAPA, Bi. Angela Nyaki alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodona, Novemba 2, 2021.
Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson akizungumza na viongozi kutoka Zara International Travel Agnecy Ltd na Hifadhi ya KINAPA walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodona, Novemba 2, 2021.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akimuapisha Mbunge wa Ushetu, Mhe. Emmanuel Cherehani leo Bungeni Jijini Dodoma, Novemba 2, 2021.
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akimkabidhi zawadi Mkurugenzi Mtendaji wa Zara International Travel Agnecy Ltd, Bi. Zainab Ansell alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodona, Novemba 2, 2021.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akimuapisha Mbunge wa Konde, Mhe. Mohamed Said Issa leo Bungeni Jijini Dodoma, Novemba 2, 2021.(PICHA NA OFISI YA BUNGE).

Post a Comment

0 Comments