HII NI YETU SOTE:Ni kuhusu falsafa ya Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo ya Wananchi

Zoom Saturday Special

WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano Maalumu wa Zoom utakaofanyika Desemba 4, 2021 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi 12:30 jioni.
Mada: Mjadala Maalumu kuhusu Falsafa ya Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo ya Wananchi

Muda ukifika utaweza kujiunga na kushiriki moja kwa moja kwa kubofya hapa ~ https://bit.ly/3o8jzsa

Au kupitia
Meeting ID: 825 1510 4022
Passcode: 768326

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV na Saangapi TV, Daily News Digital, Saangapi TV, ITV, Azam TV na Star TV

Karibu tujadili falsafa ya Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo Endelevu. Usikose!Post a Comment

0 Comments