LIVE: Rais Samia akizindua maboresho ya Gati (0-7) Bandari ya Dar es Salaam

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Maboresho ya Gati (0-7) katika Bandari ya Dar es Salaam leo Desemba 4, 2021.

Huu ni mwendelezo wa shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara ambao ulipatikana Desemba 9, 1961. Mheshimiwa Rais pamoja na viongozi mbalimbali waandamizi nchini wameendelea kufungua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo nchini.

Post a Comment

0 Comments