Rais Dkt.Mwinyi ateua viongozi mbalimbali leo Desemba 28,2021

NA GODFREY NNKO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameteua wafuatao kuwa makamishina wa Tume ya Kurekebisha Sheria.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi.

Mosi kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena A.Said leo Desemba 28,2021 Mheshimiwa Rais amemteua Yahaya Khamis Hamad.

Pili amemteua Dkt.Sikujua Omar Hamdan, tatu amemteua Juma Msafiri Karibona.

Nne ni Salim Mohammed Abdalla na uteuzi huo umeanza leo Desemba 28,2021.

Post a Comment

0 Comments