TANESCO ilivyojipanga kukuangazia maisha

NA MWANDISHI MAALUM

SHIRIKA la Umeme nchini (TANESCO) limeendelea kuboresha utoaji huduma kwa wateja wake kote nchini ili kupata nishati ya uhakika, kwa ufanisi na kwa haraka.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo,Maharage Chande leo Desemba 21,2021 wakati wa mazungumzo na Azam TV.
 "Tutaboreshautoaji wa huduma kwa wateja wetu na kwa sasa tunafanyia kazi mfumo rafiki utakaotuwezesha kufahamu wateja waliofanya maombi ya umeme na bado hawajaunganishiwa huduma,"amesema.

Post a Comment

0 Comments