Tazama maendeleo ya mradi wa kimkakati wa kufua umeme kwa nguvu za maji wa Julius Nyerere kufikia Desemba 2021, upande wa tuta kuu (MAIN DAM)

MRADI wa Bwawa la Kufua Umeme wa Maji la Julius Nyerere (JNHPP-MW2115) ujenzi wake umeendelea kushika kasi kutokana na juhudi mbalimbali zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Kukamilika kwa mradi huo kutafanya Tanzania kuwa na uwezo wa kuzalisha umeme wa megawati 4478 pamoja na vyanzo vingine vya umeme vilivyopo huku mahitaji yakiwa ni megawati 2788 na hivyo kufanya kuwa na ziada ya umeme wa megawai 2100.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news