TMA yatoa angalizo la mvua kubwa Desemba 3 hadi 5, 2021

NA MWANDISHI DIRAMAKINI

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Nchini (TMA) imetangaza kuwepo kwa mvua kubwa zinazotarajiwa kunyesha katika ukanda wa Pwani kuanzia Desemba 3,2021 hadi Desemba 5,2021.

Kwa mujibu wa taarifa ya TMA iliyotolewa mkoani Dar es Salaam imeeleza kuwa, licha ya mvua hizo kubwa kumalizika tarehe tano mwezi huu, mvua za kawaida zitaendelea hadi mwezi Aprili, mwaka 2022.

Aidha, kufuatia uwepo wa mvua hizo, TMA imewataka Watanzania wote kuchukua tahadhari hasa kwa mvua zinazoambatana na radi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news