Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 16,2021

NA GODFREY NNKO

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) leo Desemba 16,2021 imetoa taarifa zifuatazo kuhusu viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni.

Kwa mujibu wa BoT leo dola ya Marekani nchini inabadilishwa kwa Shilingi 2,285.14 huku ikiuzwa kwa Shilingi 2308.

Upande wa Paundi ya Uingereza inabadilishwa kwa Shilingi 3028.50 huku ikiuzwa kwa Shilingi 3059.71. Kwa taarifa zaidi endelea katika ubao huu hapa chini;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news