Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 28,2021

NA GODFREY NNKO

LEO Desemba 28, 2021 Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa taarifa zifuatazo kuhusu viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni. Kwa mujibu wa BoT, dola ya Marekani inanunuliwa kwa shilingi 2286.3 na kuuzwa shilingi 2309.16. 
Aidha, Paundi ya Uingereza inanunuliwa kwa shilingi 3063.64 na kuuzwa kwa shilingi 3094.74. Euro inanunuliwa kwa shilingi 2585.34 na kuuzwa shilingi 2611.66. Kwa taarifa zaidi tazama ubao hapo juu uweze kujua viwango vya mataifa mengine.

Post a Comment

0 Comments