Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 29,2021

NA GODFREY NNKO

LEO Desemba 29, 2021 Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa taarifa zifuatazo kuhusu viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni. 

Kwa mujibu wa BoT, dola ya Marekani inanunuliwa kwa shilingi 2286.327 na kuuzwa shilingi 2309.19. 
Aidha, Paundi ya Uingereza inanunuliwa kwa shilingi 3077.17 na kuuzwa kwa shilingi 3108.17. Euro inanunuliwa kwa shilingi 2590.64 na kuuzwa shilingi 2616.77. Kwa taarifa zaidi tazama ubao hapo juu uweze kujua viwango vya mataifa mengine.

Post a Comment

0 Comments